Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri Membe |
Home
Unlabelled
BREAKING NEWZZZZ: MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA, NA SAFARI ZA KENYA AIRWAYS KUENDELEA KUWA 42
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sawa mmeruhusiwa magari kuchukua watalii kenya ! Na sisi tumeruhusu ndege zao kufanya safari kama kawaida !
ReplyDeleteJe ufumbuzi wa kudumu wa hili swalanini?
Tanzania ili tuendelee tuachanena tabia za kutatua matatizo yetu kwa staili ya ZIMA MOTO ! Chamsingi shughuli ziendelee huku tukivijenga viwanja katika ubora zaidi ya uwanja wao waKenya.
Ni vizuri nchi zetu zisuluhishe matatizo yote yaliyojitokeza kwa kujali maslahi ya nchi zote. Kuzuia magari kuingia uwanja wa ndege haikuwa jambo zuri hasa watalii ambao walikuwa hawatendewi vyema. Mashirika ya ndege yana gharama kubwa za uendeshaji na japo yanatoa huduma yanapitia ushindani mkubwa sasa hivi Afrika. Swala la mageti yaliyofungwa kama litajadiliwa liangaliwe kwa maslahi kama yanaweza kutusababishia kukosa mapato pia nao jirani waliangalie kwa ukweli huo.
ReplyDelete