Kikosi cha Simba kimetoka kidedea kwa bao 5-4 kwenye match ya watani wa jadi Yanga katika mechi ya Nani Mtani Jembe huko Dubai.
Mpambano huo uliokuwa mkali sana ulianza kwa Yanga kupata penalty 2 kwa mpigi lakini moja iliokolewa na goal keeper na nahodha wa Simba Ali Yusuf. 
Magoli ya Simba yalifungwa na Matama Chesama (DJ Tama) 3, Tariq Mbarak 1,na Thani 1.magoli ya Yanga yalifungwa Yunus 2, Waleed 1, na Kulwa 1.Yanga imeendelea kuwa mteja wa Simba Sports club hadi huko Dubai.
Kikosi cha Yanga Dubai
Kikosi cha Simba Dubai
Vikosi vya Yanga na Simba katika picha ya pamoja kabla ya gemu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ankal hapana chezea SIMBA wewe Sımba oyeeeeeeeeeeee hata ughaibuni YANGA mtaendelea kuwa WATEJA tu mpaka kieleweke.

    ReplyDelete
  2. chezea mnyama..???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...