Mwenyekiti wa Tamasha la
Pasaka, Alex Msama, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akimtangaza mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Uingereza, Ifiyani Karechi atakayeshiriki katika tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5 kwenye Uwanja wa
Taifa.
Picha na Francis Dande.
Alex Msama.
Picha na Francis Dande.
Alex Msama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...