Baadhi ya Mawaziri na Manaibu Waziri kutoka wizara za Viwanda na Biashara, Fedha, Miundombinu na Uchukuzi wa Serikali ya Tanzania wakishiriki Mkutano wa Mawaziri wa Kamati Ndogo ya Mtangamano wa Kikanda wa Masuala ya uchumi unaojadili hatua ya utekelezaji wa mpango wa Maendeleo ya Viwanda kwa ajili ya Kanda ya SADC.Mkutano huo umefanyika leo katika hoteli ya Cresta Lodge mjini Harare nchini Zimbabwe.
Baadhi ya Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu kutoka wizara ya Viwanda na Biashara, Miundombinu na Uchukuzi na Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Maafisa Waandamizi kutoka Tanzania wakifurahia jambo katika Mkutano wa Mawaziri wa Kamati Ndogo ya Mtangamano wa Kikanda wa Masuala ya uchumi unaojadili hatua ya utekelezaji wa mpango wa Maendeleo ya Viwanda kwa ajili ya Kanda ya SADC.Mkutano huo umefanyika leo katika hoteli ya Cresta Lodge mjini Harare nchini Zimbabwe.
Naibu Waziri wa Fedha Adamu Malima (wa tatu kulia) akisalimiana na Makamu wa Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Phelekezela Mphoko, baada ya Makamu wa Rais huyo kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Kamati Ndogo ya Mtangamano wa Kikanda wa Masuala ya uchumi unaojadili hatua ya utekelezaji wa mpango wa Maendeleo ya Viwanda kwa ajili ya Kanda ya SADC.Mkutano huo ufanyika leo katika hoteli ya Cresta Lodge mjini Harare nchini Zimbabwe.Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janeth Mbene.Picha na Christina Mwangosi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...