Camera ya Globu ya Jamii imeinasa taswira hii ya samaki wakikaushwa tayari kwa matumizi mengine ikiwemo kitoweo,taswira hiyo imenaswa katika kitongoji cha Kiyungi katika kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Sehemu ya soko ndani ya mji wa Machame wilayani Hai.
Moja ya Daraja maarufu sana wilayani Hai,liitwalo Daraja la MNEPO linalopatikana katika kitongoji cha Kiyungi, kijiji cha Mijongweni,wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Haya majengo yamechoka na soko linatakiwa jipya la kisasa sio matope na vibanda banda.
ReplyDelete