Katibu Tawala wa jiji la Mbeya, Quip Mbeyela(katikati) akimkabithi
mshindi wa Safari Nyama Choma 2015, John Mushi kitita cha Shilingi
1,000 000/= mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano hayo
yaliyofanyika katika Chuo cha TIA mwishoni mwa wiki.
Mpishi Mkuu wa Bar ya Tumaini ya jijini Mbeya, John Mushi(kushoto)
akishangilia na kikombe mara baada ya kuibuka bingwa katika
mashindano ya Safari Nyama Choma 2015 yaliyofanyika katika Chuo
cha uhasibu(TIA) mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari
Lger, Edith Bebwa na Katibu Tawala Wilaya ya Mbeya, Quip Mbeyela.
Mpishi Mkuu wa Bar ya Tumaini ya jijini Mbeya, John Mushi(kushoto)
akiaonyesha kitita cha pesa tasliomu Shilingi 1,000 000/= mara baada
ya kuibuka bingwa katika mashindano ya Safari Nyama Choma 2015
yaliyofanyika katika Chuo cha uhasibu(TIA) mwishoni mwa wiki.Kulia ni
Meneja wa bia ya Safari Lger, Edith Bebwa na Katibu Tawala Wilaya ya
Mbeya, Quip Mbeyela.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...