Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa pili kulia) akishiriki michezo na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza katika warsha hiyo.
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC walioshiriki warsha hiyo wakifanya mafunzo kwa njia ya michezo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...