Wapiga picha katika eneo la Kilima cha Mawenzi wakioneshana
uwezo wa kupigana masumbwi hata hivyo chanzo cha ugomvi huo hakikuweza
kufahamika mara moja.
Video na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya
Kaskazini.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wote wachovu to siyo wapiganaji, jamaamwenye shati alikuwa na position nzuri kama mara nne hivi, angemeza kumsimika mwenye fulana vifuti vya mgongoni poa to, au vipepsi, halafu wote walikuwa wameanika korodani, piga hata kibao tu kwenye korodani basi ugomvi umeisha. All in all, kupigana siyo vizuri,one needs to avoid physical fights at all cost,"kupigana" vshould be used as a last resort.
ReplyDeleteHiki sio kitu cha kuweka kwenye blog hii. haya tumeshakiangalia then what?
ReplyDeleteKupigana ni ushenzi na ushamba tu.
ReplyDeleteKAMATA WOTE HAO TIA NDANI na kuwapiga faini au wanapewa adhabu ya kusafisha mjini kwa week nzima,maana wanaonekana wana nguvu sana na hawana cha kufanyia, Polisi wetu hii ndo kazi yenu, sijui hakuna doria au?
ReplyDeleteAnkal Michuzi,
ReplyDeleteAina hii ya post , huniachia ladha mbaya mdomoni na rohoni.. tafadhali sana, linda heshima..ni mawazo yangu tu..
Ni aibu kuona watu wazima wanapigana na wengine wanashangilia bila ya kuamua. ustaarabu uko wapi? Watanzania tujitofautishe na wanyama tujifunze kutatua tofauti zetu kwa busara.
ReplyDeleteHhhhhh hawa wote si wapiganaji.inaonekana hawana skills za ngumi. Sisapoti ugomvi ila nasemaaaaaaaa. jifunze self defence yuo will never know adui yako atakuvunjia mlango wako muda gani Na kukuvamia.kwetu sote Ni karateka Na boxers full nidhamu Na kuilinda jamii yetu.
ReplyDelete