Wapiga picha katika eneo la Kilima cha Mawenzi wakioneshana uwezo wa kupigana masumbwi hata hivyo chanzo cha ugomvi huo hakikuweza kufahamika mara moja.

Video na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. wote wachovu to siyo wapiganaji, jamaamwenye shati alikuwa na position nzuri kama mara nne hivi, angemeza kumsimika mwenye fulana vifuti vya mgongoni poa to, au vipepsi, halafu wote walikuwa wameanika korodani, piga hata kibao tu kwenye korodani basi ugomvi umeisha. All in all, kupigana siyo vizuri,one needs to avoid physical fights at all cost,"kupigana" vshould be used as a last resort.

    ReplyDelete
  2. Hiki sio kitu cha kuweka kwenye blog hii. haya tumeshakiangalia then what?

    ReplyDelete
  3. Kupigana ni ushenzi na ushamba tu.

    ReplyDelete
  4. KAMATA WOTE HAO TIA NDANI na kuwapiga faini au wanapewa adhabu ya kusafisha mjini kwa week nzima,maana wanaonekana wana nguvu sana na hawana cha kufanyia, Polisi wetu hii ndo kazi yenu, sijui hakuna doria au?

    ReplyDelete
  5. Ankal Michuzi,
    Aina hii ya post , huniachia ladha mbaya mdomoni na rohoni.. tafadhali sana, linda heshima..ni mawazo yangu tu..

    ReplyDelete
  6. Ni aibu kuona watu wazima wanapigana na wengine wanashangilia bila ya kuamua. ustaarabu uko wapi? Watanzania tujitofautishe na wanyama tujifunze kutatua tofauti zetu kwa busara.

    ReplyDelete
  7. Hhhhhh hawa wote si wapiganaji.inaonekana hawana skills za ngumi. Sisapoti ugomvi ila nasemaaaaaaaa. jifunze self defence yuo will never know adui yako atakuvunjia mlango wako muda gani Na kukuvamia.kwetu sote Ni karateka Na boxers full nidhamu Na kuilinda jamii yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...