Mkurugenzi
wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia),
akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja
wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
Lilian Festo Mjimba katika hafla iliyofanyika Makao
Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo.

Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman
(kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST,
kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha
Zaidi’, Lilian Festo Mjimba katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya
Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman
(kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST,
kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha
Zaidi’, Mama lishe Efgenia Mathew Mushi katika hafla iliyofanyika Makao
Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo.
Mkurugenzi
wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia),
akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST,
kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha
Zaidi’, Kinyozi Juma Ally Songoro katika hafla iliyofanyika
Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia),
akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja
wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
Kinyozi Juma Ally Songoro katika hafla iliyofanyika
Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...