Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi
msaada wa Vipaza sauti Amiri wa Jumuiya
ya Sherehe za Siku Kuu ya Iddi Matemwe Ustaadhi Kundi Choum Haji kutekeleza
ahadi aliyoip[a Jumuiya hiyo wakati wa sherehe za siku kuu ya Iddi el Hajj
iliyopita.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha
Suleiman Iddi akimkabidhi mchango wa Shilingi 400,000/- kwa kila kikundi miongoni mwa vikundi 14 vya Ushirika wa Akina Mama
vilivyomo ndani ya Wilaya ya Kaskazini “
A “.
Balozi Seif akikabidhi Seti moja ya Jezi na Mipira kwa kila Timu ya Soka
miongoni mwa timu nne zilizomo ndani ya Jimbo la Matemwe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...