Meneja Masoko wa kampuni ya AVIC International,Bw.He Xianlong (katikati) akimwonyesha Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania,Bw.Julius Mcharo na maofisa alioambatana nao ramani za nyumba zilizojengwa kwa ajili ya kuuzwa wakati wa ziara ya maofisa wa CBA walipotembelea mradi huo leo. CBA imeingia mkataba wa kutoa mikopo kwa wananchi wanaotaka kununua nyumba hizo kwa ajili ya makazi
Maofisa wa CBA Na Avic wakiangalia nyumba ambazo zimejengwa kwa ajili ya kuuzwa kwa wananchi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania,Bw.Julius Mcharo na maofisa wengine wa benki hiyo wakiwasili katika eneo la Kigamboni walipofanya ziara ya kutembelea nyumba za mradi wa Avic International,CBA imeingia mkataba wa kutoa mikopo kwa wananchi wanaotaka kununua nyumba hizo kwa ajili ya makazi.Wengine pichani ni maofisa waandamizi ya Avic.
Meneja Msaidizi wa kampuni ya AVIC International,Bw.Li.Jiayin (katikati) akimwonyesha Mkurugenzi wa Benki ya CBA Tanzania,Bw.Julius Mcharo eneo la mradi wa uwekezaji wa ujenzi wa nyumba za kuuza wakati wa ziara ya maofisa wa benki hiyo kutembelea nyumba hizo. CBA imeingia mkataba wa kutoa mikopo kwa wananchi wanaotaka kununua nyumba hizo kwa ajili ya makazi.
Hizo nyumba zipo maeneo gani?
ReplyDeleteNyumba hizi ziko wapi?
ReplyDelete