Watoto wa mtaa wa kwamtenga  Makongo juu jijini Dar es Salaam wakisakata kabumbu a.k.a Chandimu kama walivyo naswa na kamera ya Globu ya Jamii.
 "Beki hasifiwagi" hapa hapiti mtu.
 Nyanda akijiandaa kudaka mpira kwa woga.
(Picha zote na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu dogo mwenye kandambili anaonekana ni beki mzuri na mahili, anaweza kumfaa ,zee wa kupaki basi (Chelsea) miaka ya mbeleni!!

    Huku chini hakuna kujali umri? Under 6 years kucheza na over 13 years??

    ReplyDelete
  2. TWILA KAMBANGWAApril 21, 2015

    beki mahili lakini avue ndala bana, anafanana na IDDI SELEMANI MEYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...