Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ubalozi wetu upo slow mno kutafuta taarifa. Huyo mtanzania aliyeuawa akiwa jela maelezo yake hayatoshelezi....Habari tulizonazo huku na za uhakika ni kuwa hata kule gerezani hayo mapigano yalikuwa kati ya wafungwa wenyeji na wafungwa wageni....je hiyo siyo Xenophobia? Maelezo ya Membe bado hayajasema kuwa ugomvi wa gerezani ulihusu nini?

    ReplyDelete
  2. huu ni ukweli au ni fiksi? Katika kujaribu kujenga urafiki na S. Africa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...