Mtangazaji wa Radio 93.7 EFM ya jijini Dar es salaam, Samira Kiango (pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Tasnia ya Habari za Mitandao (Social Media), Clarence Mulisa kutoka Global Publishers (kulia), Fredrick Bundara kutoka Bongo Five (pili kushoto) pamoja na Othman Michuzi MTAA KWA MTAA BLOG chini ya Michuzi Media Group, mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mezani, kilichokuwa kikijadili swala zima la Muswada wa Sheria za Makosa ya Mtandao 2015, kilichoruka hewani mapema leo asubuhi.Alieketi ni Johnbosco Kamili wa EFM.
Home
Unlabelled
EFM yapiga stori na Wadau wa Tasnia ya Habari za Mitandao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...