Mbunge  wa   jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  kulia  akikabidhi msaada wa  mataulo na mito kwa  mkurugenzi  wa  Halmashauri ya  wilaya ya  Ludewa  Wiliam Waziri kwa  ajili ya  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa.
Filikunjombe  mwenye  T-Shet ya  CCM  akisaidiana na  watumishi wa  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa  kushusha  vifaa mbali mbali.
Moja kati ya  magari ya  wagonjwa  yaliyotolewa na mbunge wa  Ludewa  Deo  Filikunjombe  jimboni mwake  kusaidia kubeba  wagonjwa  
                                       Na FG Blog, Ludewa.
Watumishi wa  Hospitali ya  wilaya ya  Ludewa  wakimshangilia mbunge  wao  Deo Filikunjombe kwa msaada Hospitalini hapo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. We will see alot of this during an election year,it's called give n I'll give u

    ReplyDelete
  2. Uchaguzi Mkuu unanukia!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...