flavy
 Kwa mara nyengine tena Mwanamitindo afanyae kazi zake za uanamitindo nchini Marekani Flaviana Matata amepata deal ya kutangaza vipodozi vya Kiko Milano vya nchini Italy
Flaviana na wanamitindo wenzie wanatangaza kampeni iyo iliyopewa jina la Modern Tribe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Flavian, you are one of the best African model. Siku zote unauwakilisha urembo wa mwafrika. Nywele zako ni za asili na style za kiafrika, na rangi ya ngozi yako ni ile ile asili ya kiafrika aliyokupa Mungu. And yet you are the most beautiful. I will support you always.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...