Miaka sita imepita toka ulipotuaga tarehe 15 April 2009 na kuzikwa nyumbani kijiji cha
Buhangaruti, Mugana Catholic Parish, Bukoba.
Unakumbukwa daima na mume wako Dr.F.C.Kahabuka, wanao Anna, Oliva, Mary,
Prim, Pelagia pamoja na wakwe zako na wajukuu, ndugu, majirani na marafiki na wote
tunazidi kukuombea upumzike mahali pema huko peponi, Amina.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...