Meneja wa Kanda ya Mashariki ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF
Bw. Yesaya Mwakifulefule akikabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi kwa Mkuu wa Wilaya
ya Ulanga Mashahriki Bi. Christina Mndeme kwa ajili ya ukarabati wa maabara za
shule katika wilaya hiyo.
Mkuu wa Wilaya
ya Ulanga Mashahriki Bi. Christina Mndeme akizungumza jambo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya Meneja wa Kanda ya Mashariki ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF
Bw. Yesaya Mwakifulefule kukabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi kwa kwa ajili ya ukarabati wa maabara za
shule katika wilaya hiyo.
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...