Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifanya ziara ya
kutembelea wagonjwa waliojeruhiwa katika vurugu za kisiasa zilizotokea
siku ya mkutano wa CUF uliofanyika Makunduchi tarehe 29/03/2015. Baada
ya kuwaangalia wagonjwa hao katika mitaa mbali mbali ya Mjini Magharibi
ikiwemo mitaa ya Jang'ombe, Muembe Makumbi na Mfenesini, Maalim Seif
amesema Chama hicho hakitotoka kwenye mstari na kamwe hakitojitumbukiza
kwenye vurugu hizo zilizopangwa kwa malengo ya kukivurugia malengo
yake. (picha na Salmin Said, OMKR),
Home
Unlabelled
MAALIM SEIF ATEMBELEA WAGONJWA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...