Meneja Uhusiano wa
Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu (katikati), akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu uboreshaji wa ukusanyaji
wa mapato ya Halmashauri hiyo. Kulia ni Meneja Kodi Majengo, Stellah
Mgumia na Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa Manispaa hiyo, Francis Luambano.
Meneja Kodi Majengo wa Manispaa hiyo, Stellah Mgumia akitoa ufafanuzi mbalimbali wa ukusanyaji wa mapato.
Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa Manispaa hiyo, Francis Luambano (kushoto), akizungumza na wanahabari katika mkutano huo.Picha na (Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...