Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe Freeman Mbowe, akihutubia maelfu ya wakazi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio Ukerewe jana.
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Joshua Nassari wakihutubia wananchi wa Makambako, mkoani Njombe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Azimio, ikiwa ni sehemu ya operesheni ya mafunzo kwa viongozi kukiandaa chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali.
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu akihutubia wananchi
Gari iliyowapeba Naibu KAtibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar) Mhe. Salum Mwalimu na Mbunge wa Arumeru Magharibi Mhe Joshua Nassari ikiwasili katika mkutano wa hadhara Makambako, mkoani Njombe
![]() |
Sehemu ya wananchi kwenye mkutano huo |
Ningefurahi kweli kama sisiem ikipigwa chini 2015 na upinzani kushika nchi.....basi kwa oni hili nimeshatasfiriwa kua nimechafua hali ya hewa.....
ReplyDelete