Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ndugu Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar Es Salaam.

BOFYA HAPA KUSOMA TAARIFA YAKE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Muheshimiwa, jengeni barabara pana, tutawashika wachawi kumbe shida ni miundombinu finyu na barabara hazina upana wa kutosha. Hilo ni tatizo kubwa na lisilotafutiwa ufumbuzi tutakuwa na vilio kila familia vya mauaji yanayotokana na ajali. Madereva wengine hata ukiwaona wengine hata hawafai kuitwa hivyo, jinsi walivyo, hawajipendi, wachafu wachafu, kweli dereva gani asiyejipenda mwenyewe, atafanya kazi nzuri kweli ya kuwafikisha abiria kama yeye mwenyewe hajipendi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...