Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam, imefungwa kwa muda ili kupisha ukarabati wa Barabara hiyo,ulioanza rasmi leo.
ukarabati ushaanza kushika kasi katika Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo.
kibao cha kuonyesha kufungwa kwa Mtaa huo kuanzia Barabara ya Morogoro mpaka Mtaa wa Mafia.hivyo watumiaji wa njia hii mnapaswa kutafuta mbadala wake.
mambo yameiva Msimbazi.
Why put notification in English? Does this mean that all car owners knows only English? How hard is it to put it in Kiswahili with English translation?
ReplyDeleteNa ww mbn umeandika kingereza?
DeleteThat's true...how difficult is Tanzania guys to motivate our national language???? 98% passing this roads are Tanzanian, please let's be proud with our fantastic Kiswahili - language!
ReplyDeleteSuaheli or English? Well everybody is stopping also on a red light! ;-) Be happy if the signs are tomorrow still there and nobody has used them. as roof sheet! With the Construction in Dar be happy that it is not written in Mandarin! ;-)
ReplyDeleteNyie mliochangia hapo juu wote naona kama vichwa vyenu ni Sawa na vichwa panzi yani mnalalamika kuandikwa tangazo kwa lugha ya kingereza hali yakuwa wenyewe mnatumia lugha hiyohiyo ya kingereza kuandika maoni yenu hapa.....ama kweli nyani haoni makalio yake
ReplyDeleteSawa kabisa, nami pia nimewashangaa wanalaumu nini na wao wanafanya nini.
ReplyDelete