Winchi likinyanyua basi baada ya ajali ambapo watu 10 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa kutokana na ajali ya basi la Unique na lori kugongana uso kwa uso mkoani Shinyanga leo.
Zoezi la kunyanyua mabaki ya basi hilo likiendelea
Simanzi yatawala eneo la ajali
Winchi likiwa kazini huku wanahabari wkirekodi tukio la kunyanyuliwa basi hilo
JENGENI BARABARA ZENYE NJIA NYINGI NA WAPENI MAFUNZO MADEREVA NAMNA YA KU-OVERTAKE NA MENGINEYO, AU LA SIVYO MISIBA YA OVYOOVYO ITAENDELEA.
ReplyDeleteNaungana na yule Professor aliyesema watanzania wote tuna ugonjwa wa akili
ReplyDeleteImarisheni reli na kujenga reli mpya kupunguza mbio za haya mabasi maana kutakuwa na kampuni chache kubwa tu zitakazoweza kushindana na usafiri wa reli na kuondokana na wamiliki kampuni ndogo za mabasi zenye njaa zinasosababisha ajali hizi zinazoweza kuepukika.
ReplyDeleteKukiwepo na usafiri bora wa reli uliosambaa na kampuni chache kubwa za mabasi ajali hizi zitapungua kwa kiasi kikubwa.
Anwani ya habari inamlaumu Mungu kwamba hakutunusuru wakati ametunusuru kwa kutupa akili timamu na fikra. Sisi hatukuzitumia vizuri kwa:
ReplyDelete1. Rushwa kununua leseni za udereva,
2. barabara nyembamba na mbaya
3. ufisadi unasababisha watu wawe masikini hivyo washindwe kupanda ndege na kuishia mibasi hii.
4......
Bola haya mabasi yafungiwe tu
ReplyDeleteNaona tunahitaji maombi Mungu aingilie kati hizi ajali zimezidi mambo gani haya ya kupoteza watu namna hii..
ReplyDeleteIle ripoti ya kuhusu ajali ya wizara ya uchukuzi je ilifanyiwa kazi? Kama ilifanyiwa mbona ajali zinazidi
Inna Lillah wainaillah rajiun, Watanzania turudi kwa Mwenyezi Mungu tuombe sana. Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi maiti wote wa ajali na majeruhi awaponye waungane na familia zao. Amin
ReplyDeleteLeseni zote za Madereva wanaoendesha basi kubwa zisitishwe na wapatie elimu, wafaulu na kuendesha basi au la tutakufa kila siku.
ReplyDeletetatizo ni leseni za kununuwa,watu hawajui kanuni za balabala
ReplyDeleteKWANINI....WHY?
ReplyDelete