Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akiangalia kwa makini taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lililopo eneo la Luyelela kijiji cha Lugagala jimbo la Peramiho, Songea. Kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw. Juma Ally na kushoto kwake ni Mhandisi wa Maji Songea vijijini Bw. John a. Undiri.
Naibu Waziri Maji Mh. Amos Makalla akipata maelezo mradi Maji Peramiho A,Songea.
Naibu Waziri Maji  Mh. Amos Makalla akipata maelezo na mchoro wa mradi Maji Lugagara jimbo la Peramiho,Songea.

Naibu Waziri Maji Mh. Amos Makalla akikagua mradi wa Maji Liula kata ya matimila jimbo la Peramiho, Songea. 

 Diwani wa kata ya matimila ndg M-Komba akishukuru na kuiomba serikali ikamilishe mradi Maji Liula na matimila jimbo la Peramiho, Songea. 
 
Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Mvomero kupitia Chama Tawala (CCM), Mh. Amos Makalla akipokea zawadi ya mbuzi na gunia la Mahindi kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Lugagala kilichopo Jimbo la Peramiho Songea. Naibu Waziri aliwahakikishia wananchi hao kwamba Serikali itajitahidi kukamilisha mradi huo ili kuwaondolea adha ya maji. 
 
Makalla Akutana na aliyekuwa Mkuu wa kitengo cha Ulinzi kampeni za Ubunge Mvomero 2010 ndg. Michael Nchimbi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...