Balozi wa Kampeni ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira TFF Tenga (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi mbalimbali wa kiwanda cha Bia Dar es Salaam Tanzania katika Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi
Meneja Rasilimali watu kiwanda cha Bia Dar es Salaam Emmanuel Christopher ( wakwanza kulia) akimkabidhi Vyandarua 50 kwaniaba ya TBL Balozi wa Kampeni ya Malaria Tanzania na aliye kuwa Rais wa Shilikisho la Mpira TFF Tenga (wanne kushoto) katika Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani viwanja vya Farasi ambapo Dar es Salaam juzi.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...