Waziri Mkuu Mstaafu. Mhe. Frederick Sumaye akiandika katika kitabu cha wageni wakati alipoutembelea Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mtaifa, mwishoni mwa wiki, pembezi yake ni Mama Ester Sumaye, na Balozi Ramadhan Mwinyi, Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa.
Mhe. Waziri Mkuu Mstaafu , Frederick Sumaye, akiangalia picha za baadhi ya Wawakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa ambao picha zao zinapamba ukumbi wa Mkutano wa Ofisi ya Mwakilishi wa Kudumu.
Mhe. Sumaye na Mama Esther wakipozi katika baadhi ya vivutio vilivyomo katika Ofisi Mpya za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Jengo la Uwakilishi wa Kudumu lilifunguliwa rasmi mwishoni mwa mwezi March na Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...