Kijana Daud Mrindoko anayeshawishiwa Moshi mjini agombee ubunge.
Mamia ya wakazi wa Moshi mjini wamefunguka na kumshinikiza kwa kumshawishi kijana moja ajulukanae kwa jina la Daudi Mwidadi Mrindoko achukue fomu za kugombe ubunge wa jimbo hilo la Moshi mjini,mamia na kinamama na kina baba,vijana na wazee wa mji wa Moshi wanamtaja kijana Daudi Mrindoko kuwa ndio tochi na dira ya itakayo waonyesha njia ya mafanikio zaidi 2015 alisemamama moja Merry Kimaro kutoka kundi la wafanyibiashara wadogo Moshi sokoni.
Kijana mwingine aliyejitambulisha kwa jina Elias Mushi mwendesha boda bodaalijigamba kwa kusema kuwa heti Daudi Mrindoko ndio Obama wa mjini Moshikijana ambaye ni daraja kati ya jamii vijana kwa wazee,wanawake kwa wanaume,Tulitaka kumjua zaidi huyu Kijana Daudi Mrindoko na kumtafuta ili kupata kauli yakelakini juhudi ziligonga ukuta tuliambiwa amesafiri.
Mzee moja aliyejitambulisha kwa jina Gasper Temu mfanyi biashara alisema wazee wa Moshi wangependa sana kupata mbunge kijana ambaye ni rahisi kumtuma,kumshauri na kumkosoa unajua sisi wafanyi biashara na wakulima hapaMoshi tunahitaji mabadiriko ya kasi kubwa ili tupate kusonga mbele alisema mzeeGasper Temu.  "Mjini Moshi kunafuka moshi lazima chini kuna moto 2015"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hahahahhahahahhahahahahah

    ReplyDelete
  2. Daudi Babu Mrindoko tunakubali sana sana huyu dogo sauti yetu Moshi,Babu chukua fomu

    ReplyDelete
  3. Pipooozzz Pawa!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...