Katika shamrashamra za kusherehekea Miaka 51 kuungana Tanganyika na Zanzibar na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Timu ya Zanzibar Diaspora​ nchini Marekani imeifunga bao jirani zake timu ya Tanganyika USA bao 7-1.
 Kikosi cha timu ya Tanganyika 
Tanganyika na Zanzibar kama ishara ya Muungano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Timu ya zanzibar mbona hatuioni?hao ni jirani zetu au ndugu zetu?

    ReplyDelete
  2. Wow najisikia faraja kusikia kuna timu Tanganyika japo kwa huku ukitaja tu jina hilo waonekana kama mwalifu au unatafuta ugomvi....hahahahahahaha hari tete.

    ReplyDelete
  3. hivi watu wa nchi moja wanashindanaje nje ya nchi! mnataka kuleta picha gani? imagine iringa diaspora washindane na mbeya diaspora? ni ujinga ambao mnaujenga kwa kizazi kijacho na msije shangaa ikaleta matatizo miaka ya baadae. tumieni akili....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...