Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (katikati) Makamo
wa Pili wa Rais Balozi Seif ALi Iddi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Vuai Ali Vuai,Mama Mwanamwema Shein (kushoto) na Mwenyekiti wa
Mkoa Mjini kichama Borafya Silima Juma (wa pili kushoto) wakiwa katika
uzinduzi wa mfuko wa Maendeleo ya Mkoa wa Mjini sambamba na Chakula cha
kuchangia Mfuko huo katika ukumbi wa Salama Bwawani jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar (kulia) alipokuwa akitoa nasaha zake wakati wa Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko wa
maendeleo ya Mkoa wa Mjini uliofanyika jana katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja na kuwajumuisha wafanyabiashara mbali mbali na
Viongozi wa CCM wa Mkoa huo.
Baadhi ya wajumbe wa kamati Maalum ya mfuko wa maendeleo
ya Mkoa wa Mjini wakielekezana jambo wa uzinduzi wa Mfuko huo sambamba
na Chakula cha hisani cha kuchangia Mfuko huo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja jana mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.
Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa
katika hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Uchaguzi wa Mkoa wa Mjini Kichama
sambamba na chakula cha kuchangia mfuko huo katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja jana. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...