Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi Mhe.Celina O.Kombani (Mb) akiwa katika hafla fupi ya kuwaaga wanamichezo wa ofisi yake wanaoelekea katika mashindano ya Meimosi 2015 mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi Mhe.Celina O. Kombani (Mb)akiagana na wachezaji wa Ofisi ya Rais-Utumishi wanaokwenda katika mashindano ya Meimosi 2015 yatakayofanyika jijini Mwanza.
Kaimu Katibu Mkuu-Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akiagana na wachezaji wa Ofisi ya Rais-Utumishi wanaokwenda kuiwakilisha ofisi katika mashindano ya Meimosi 2015 yatakayofanyika jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...