Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani, Mariam Mrisho (kushoto) akisoma
ujumbe ulioandikwa kwenye bango kwa ajili ya kutoa elimu kwa madereva wakati wa
kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na
Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwanaidi Khamis mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es
Salaam (kushoto) akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye bango kwa ajili ya kutoa
elimu kwa madereva wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini
Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule
hiyo jijini Dar es Salaam.
Ofisa polisi wa Usalama Barabarani(CPL) Wilbart Binamungwe (kushoto) akiwaelekeza
baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mlimani jijini Dar es Salaam jinsi ya
kuvuka barabara, wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla
hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar
es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mlimani jijini Dar es Salaam, wakisoma
mabango yaliyoshikiliwa na wanafunzi wenzie yenye ujumbe wa kusisitiza madereva
kutokuvunja sheria za barabarani. Wakati wa kuadhimisha siku ya Afya na Usalama
Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania ilifanyika katika
shule hiyo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Polisi wa Usalama Barabarani (CPL) Wilbart Binamungwe akifafanua
jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mlimani jijini Dar es
Salaam jinsi ya kufuata sheria za kuvuka barabara, wakati wa kuadhimisha siku
ya Afya na Usalama Kazini Duniani. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania
ilifanyika katika shule hiyo jijini Dar es Salaam.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Poor Tanzania how idiotic! Unatoa elimu ya ajali kwa watoto instead of madudumizi waliochwa kuendesha vyombo vya moto wenye less than low IQ.
ReplyDeleteTumechanganyikiwa kaka...yaani tulipofikia hatumjui nani wa kumkaba koo na ndio maana ukiongea ukweli utatafsirika kama mchonganishi......
ReplyDelete