Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad akitoa
maelezo na kuwakaribisha washiriki wa warsha ya usambazaji dawa kwa njia
ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Shangani mjini Zanzibar.
Mfamasia Mkuu Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu mfumo
huo mpya wa kielectroniki ulivyoanza kufanyakazi Zanzibar.
Waziri wa Afya Zanzibar Rashid Seif ambae alikuwa Mwenyekiti wa warsha hiyo akitoa muongozo kwa washiriki .
Mkurugenzi Usimamizi wa Mifumo ya kielectroniki kutoka Shirika la
John Snow Incoparated (JSI) akizungumzia uimarishaji wa mfumo na
mafanikio yake kwa washiriki wa warsha hiyo.
Meneja wa Zoni ya Unguja ya mfumo mpya wa usambazaji dawa kwa njia
ya kielectroniki Biubwa Khamis (aliesimama) akitoa uzoefu wa usambazaji
wa mfumo zamani na huu wa sasa katika warsha hiyo.
Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha ya siku moja ya usambazaji
dawa kwa njia ya kielectroniki iliyofanyika Park Hyatt Hotel Mjini
Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...