Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia.
Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Ofisi Ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam leo, kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.
(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)
Tatizo la shilingi yetu kushuka thamani inabidi litafutiwe ufumbuzi wa kudumu sio zima moto. Uchumi wetu sio 'export oriented' kwa hiyo tunajikuta kuna tofauti kubwa kati mapato yetu kutokana na mauzo ya bidhaa kwenda nje(exports) na manunuzi ya bidhaa kutoka nje(Imports). Si ajabu kwa sasa utalii ndio unaingiza pesa nyingi za kigeni kuliko mauzo ya pamba, kahawa, korosho, mahindi na kadhalika
ReplyDelete