Mkurugenzi msaidizi, Topografia na Jiodesia, wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Dr. James Mtamakaya,(katikati) akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu Mipaka ya Kimataifa, baina ya Tanzania na nchi jirani, katika
ukumbi wa HABARI – MAELEZO, (kulia)ni Mpima Ardhi, Geofrey Kameta na (kushoto) kwake ni Mkurugenzi msaidizi,
Upimaji Vijijini, Huruma Lugalla.

Mkurugenzi msaidizi, Upimaji vijijini, Bw. Huruma Lugalla akionyesha kwenye ramani mipaka mbalimbali ya ndani ya nchi na ile ya Kimataifa, baina ya Tanzania na nchi jirani katika ukumbi wa HABARI – MAELEZO, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wandishi wa habari waliohudhuria mkutano,kuhusiana na Mipaka ya Kimataifa, baina ya Tanzania na nchi jirani, katika
ukumbi wa HABARI – MAELEZO jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Avila Kakingo, Globu ya Jamii).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...