Home
Unlabelled
wosia wa baba wa taifa dhidi ya ukabila na udini katika kipindi cha uchaguzi mkuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ujumbe huu unatufaa sana wakati huu siasa uchwara za kupandikiza chuki kwa kugawanya wananchi kwa misingi ya dini au ukabili zisipewe nafasi kwa hali yoyote katika nchi yetu.
ReplyDeletePriceless
ReplyDeleteHuu ndio uongozi, mtu kusimama na kukemea mabaya wazi wazi bila woga. Sasa hatuna viongozi tena ni watawala tu wanaotaka maslahi yao. Haya mambo yapo na yanaendelea sana ila hakuna kiongozi wa kusimama na kusema hivi. Bora tulikuwa na kiongozi imara chini ya Mwalimu na tumeweza kupata hizi kumbukumbu zake akikemea maovu bila woga hapa tena alisha staafu siku nyingi. Viongozi wetu wa nchi nzima yaani hakuna mtu wa kusimama na kukemea maovu yanayoendelea nchini??
ReplyDeleteTusikilize ushauri huu wa Baba wa Taifa, endapo utafuata kimakini na kinidhamu hali ya amani itaendelea kuwapo nchini. Lakini ikiwa utapuuzwa basi tujue tunakaribisha mgawanyiko mkubwa sana Nchini mwetu na sijui kama hiyo historia ya amani itakuja ikumbukwe tena. Mungu ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
ReplyDeleteEee.. Mungu wetu. Tuletee tena Nyerere mwingine in our lifetime...
ReplyDeleteUjumbe mzuri sana tena unalenga nyakati hizi. Mwenye masikio na asikie
ReplyDelete