Mjumbe
wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa
Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa Nahodha wa Timu
ya Twiga,Abuu Nido baada timu hiyo kuzishinda timu katika mechi zilizopigwa
katika uwanja wa twiga Tabata Kiswani Jijini Dar es Salaam.
Na
Mwandishi wa Globu ya Jamii.
Mjumbe
wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa
Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera amesema kuwa yeye ni mwanamichezo
ndio maana amejitoa kusaidia vijana katika sekta ya michezo kwa kutambua
michezo ni ajira.
Akizungumza
hivi karibani,Scolastica amesema ataendelea kujitoa kwa vijana katika michezo
ili waweze kufika mbali na kuweza kusaidia watu wengine.
Scolastica
amesema vijana wakijituma katika michezo wanaweza kupata mafanikio na kuweza
kusaidia nchi kwa uchumi kuptia michezo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...