Mkuu wa wilaya ya Moshi, Mhe. Novatus Makunga akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) Bi. Sharry Raymond wakati akitembelea chanzo cha maji cha Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga wakati wa ziara yake ya siku moja kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
DC Makunga akisikiliza kwa makini maelezo toka kwa Kamimu mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa alipotembelea chanzo cha maji cha Longuo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...