Umati ulioijitokeza kumpokea Diamond Platinumz jijini Mwanza leo alipowasili na kundi lake la Wasafi tayari kusindikiza kwa burudani uzinduzi wa Radio Jembe FM jijini humo 
 Diamond aliwa na meneja wake Babu Tale (chini kushoto) baada ya kutua Mwanza
 Mashabiki wakimlaki Diamond
 Jiji la Mwanza lilisimama kwa muda. 
Picha zote kwa hisani ya G. Sengo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...