Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi mbali mbali katika mzishi ya Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja.Picha na Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...