Waziri Mkuu Mweshmiwa Mizengo Pinda akijadili jambo na Mama Bertha Semu-Somi(Mama madawati) na Project Officer Kayemarie Bukila alipotembelea Banda la Hassan Maajar Trust
Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Mhe. Dr. Shukuru Kawambwa alipotembelea banda la Hassan Maajar Trust
Naibu waziri Elimu-Tamisemi Mhe. Kassim M. Majaaliwa alipotembelea kibanda cha hassanmaajartrust
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...