Madereva wengi nchini wamefanya mgomo wa vyombo vya usafiri, tangu jana asubuhi mpaka leo ambapo bado haijajulikana hatma ya mgomo huo, wakazi wa jiji la mbeya wajikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na adha ya usafiri kutokana na vyombo hivyo kuweka mgomo, wasafiri wa mikoa na wilaya mbali mbali bado wapo katika hali ngumu sambamba na wanafunzi wasomao mbali kidogo na mji wa jiji la Mbeya.picha zote na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
Sehemu wa Madereva wa Mabasi jijini Mbeya wakiwa kwenye majadiliano huku wakiendelea kufanya mawasiliano na viongozi wao kuona kama mambo yamekaa sawa ama waendelee kupiga stori.
 Hakuna basi liliondoka jijini Mbeya leo, mpaka hapo hatma yao itakapojulikana.

Huku mitaani nako, bajaji ndio mpango wa mjini sasa zimeingia barabarani kukusanya abilia kwa bei ya juu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...