TAREHE 5 - MEI - 2015, UMETIMIZA MIAKA MITANO TANGU
MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.
PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.
UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO FLORIDA, ILLUMINATA, LIBERATA,
DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.
IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU
RUTAGERUKA ITAADHIMISHWA SIKU YA JUMANNE TAREHE 5 - MEI - 2015, KATIKA KANISA LA MTAKATIFU
JOSEPH, DAR-ES-SALAAM, SAA 11.30 JIONI.
BWANA ALITOA, BWANA ALITWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.
AMINA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...