Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2015

    Kwa kweli wenye mabasi wamalize migomo yao ndiyo inayoongeza foleni na kusababisha wengi kufika nyumbani wakiwa wamechelewa.

    ReplyDelete
  2. Miundo mbinu ya Jiji la Dar ni mibovu sana, pia hii car park kwenye barabara ya Azikiwe upande wa kutokea mnara wa Askari kuelekea maktaba inabidi ziondolewe sasa kwani njia imekuwa ni ya gari moja tu, na ndo inasababisha msongamano zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...