Waswahili wanasema ukichemsha mawe kuni zinaisha kumaanisha kuwa kuna vitu haviwezekani, lakini Startimes wamekuja kivingine kabisa na kuonyesha kumbe mawe yanaweza yaaiva, kuni ndio zikabaki. 

Startimes Tanzania, wale magwiji wa dijitali wametuletea watanzania Androi Application ambayo inakuwezesha kufuatilia chaneli uzipendazo huku ikikupa taarifa za vipindi vyako usivikose. Kama hiyo haitoshi, Tenbre itakuwezesha kuchat na watazamaji wengine wa vipindi uvipendavyo, manatazama kipindi kisha mastory yanafuata. Hili ni jiwe la moto kutoka Startimes, linaitwa Tenbre linapatikana kwenye Google Play au bofya hapa.

Kama hiyo haitoshi, unaweza kukusanya sarafu au ‘coins’ kwenye app hiyo ambazo unaweza kuzibadili na kulipia king’amuzi chako. Fanya fasta, fuata hatua hizi Download Tenbre kwa kutembelea Play Store kwenye simu yako ya Android au bofya hapa .Install na jisajili kupitia simu yako ya mkononi.

Umemaliza, anza kufuatilia vipindi vyako, chati na marafiki na kusanya coins…ni rahisi tu kama hivyo. Narudia tena Bofya, download, Install, Jisajili, Furahia kila kitu kiganjani mwako.
Kama una swali au ungependa kujua zaidi, tembelea kurasa za Startimes hapa chini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...