Mgeni
rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi
Dorothy Mwanyika akifungua Warsha ya siku moja kwa waandishi wa habari kuhusu wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma, katika maadhimisho ya miaka kumi ya Mamlaka ya Udhibiti na Manunuzi ya Umma (PPRA) iliyoanzishwa mwaka 2005, iliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee VIP, jijini Dar es salaam. Uzinduzi rasmi wa Maadhimisho hayo unataraji kufanyika Kesho Mei 19, 2015 katika ukumbi huo huo wa Diamond Jubilee, Huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa, Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya.
Mwenyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Udhibiti na Manunuzi wa Umma (PPRA), Balozi Dkt. Matern Lumbanga akifafanua jambo kwa
baadhi ya Wadau wa habari (hawapo pichani),kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo imefanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar es salaam.
baadhi ya Wadau wa habari (hawapo pichani),kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo imefanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar es salaam.
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti na Manunuzi ya Umma (PPRA), Dkt. Laurent Shirima akizungumza mbele ya baadhi ya Wadau wa habari (hawapo pichani),kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa
vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya
umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Wadau wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni
rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Dorothy Mwanyika (wa tano kulia) na baadhi ya viongozi wakuu wa Mamlaka
hiyo kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa
vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya
umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa PPRA wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Dorothy Mwanyika (wa tano kulia) na baadhi ya viongozi wakuu wa Mamlaka hiyo kwenye semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar es salaam.Picha na Michuzi Jr.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...