Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum Haji Omar Kheir akijibu maswali mbali mbali ndani ya baraza la Wawakilishi linaloendelea Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee akijibu Maswali mbalimbali yaliotolewa ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa Kamati ya Wenyeviti wa Baraza la Wawakilishi ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan Juma akitoa hotuba ya mapendekezo ya Kamati kuhusu Bajet ya Serikali ndani ya Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi (kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Zanzibar, Mohammed Aboud katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kitope Makame mshimba Mbarouk akichangia Bajet ya Serikali ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...