Waziri Mkuu wa Israel,Benjamin Netanyah.
Waziri Mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu,ameunda serikali mpya ya
mseto kabla ya kumalizika muda uliopangwa kwa kiongozi huyo kuwasilisha
serikali yake.
Netanyahu alifanikiwa kukishawishi chama cha kiyahudi cha mrengo
wa kulia cha Jewish Home Party baada ya Waziri wa Mambo ya Nje katika serikali
inayoondoka madarakani, Avigdor Lieberman, kukataa chama chake cha Yisrael
Baitenu, kuwa sehemu ya muungano wa Likud.
Makubaliano hayo ya serikali ya mseto yanamhakikishia kupata
wingi wa viti 61 katika bunge la nchi hio lenye viti vya wabunge 120.
Hawa ni magwiji wa siasa, hawa pamoja na Japan huitisha uchaguzi maa kwa mara na kuunda serikali za vyama mbali mbali. Uingereza na karibu na kwetu hapa Kenya nao wamekuwa wakiunda serikali kwa kukubaliana vyama viwili (coalition governments).
ReplyDelete