Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akifungua Mkutano wa tatu  wa Madaktari Bingwa wa Mifupa uliyofanyika katika Taasisi hiyo Dar es Salaa 
Daktari Bingwa wa Mifupa wa Taasisi hiyo Dk. Edmund Ndalama (kulia)  akizungumza na Makt. Bingwa tota Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na Marekani ambapo lengo ni kubadilishana ujuzi kwa Nadharia na Vitendo na unatarajia kumaliza  29-Mei 2015 
 Dokt. Zehrabanu Zulfikar akizungumza na Madkt. wakati wa Mkutano huo.
HABARI ZAIDI SOMA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2015

    Mbona huyu amekaa kama anafifungua wajameni?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2015

    Mchangiaji hapo juu umenivunja mbavu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2015

    Au pengine ni mafindo findo hayo, yanauma kweli kweli huwezi kuyakalia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...